Vigezo vya Matumizi

Kwa kutumia huduma zetu, unakubali kutoa taarifa sahihi (link ya profile/post na namba ya simu) na kutumia huduma hii kwa madhumuni halali pekee.

Sera ya Faragha

Hatuhitaji password ya akaunti yako popote. Taarifa zako (namba ya simu, barua pepe) hutumika tu kuwasiliana nawe kuhusu oda yako na kufanya malipo.

Sera ya Marejesho

Ikiwa oda yako haikufanikiwa kikamilifu, tutumie barua pepe support@buyfollowerstanzania.com na tutashughulikia suala lako, ikiwa ni pamoja na marejesho pale inapostahili.